Chagongwe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chagongwe ni kata ya Wilaya ya Gairo katika Mkoa wa Morogoro , Tanzania yenye Postikodi namba 67704.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,302 [1] waishio humo.

Katika kata hii kuna Zahanati ya serikali[2] pamoja na shule ya msingi. Pia kata hii ina barabara moja ya kwenda mjini Morogoro lakini barabara za kata hio ni mbovu sana.

Kata hii ya utawala inahusisha vijiji viwili ambavyo ni Lufikiri na Amakobwe.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Gairo - Mkoa wa Morogoro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Chagongwe | Chakwale | Chanjale | Gairo | Idibo | Iyogwe | Kibedya | Mandege | Msingisi | Nongwe | Rubeho | Chigela | Italagwe | Leshata | Madege | Magoweko | Mkalama | Ukwamani


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chagongwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.