Mlima Hanang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mlima Hanang.

Mlima Hanang ni jina la mlima mkubwa ulioko katika Mkoa wa Manyara nchini Tanzania.

Una urefu wa mita 3,417 juu ya usawa wa bahari.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]