Pia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pia
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Pia (Kiing. cone) ni gimba linalopatikana kama nukta zote za duara zinaunganishwa na nukta moja iliyopo juu yake.

Kwa lugha nyingine pia inapatikana kama pembetatu mraba inazunguka kwenye upande wake mfupi.

Eneo la duara ya msingi ni tako la nia. Umbali kutoka tako hadi ncha yake ni kina cha pia.

Katika jiometria si lazima ya kwamba tako ni duara. Umbo lolote linafaa. Kwa mfano piramidi kijiometria ni aina ya pia yenye tako la poligoni kwa kawaida mraba.

Yaliyomo V (=volume) ya pia hukadiriwa kwa njia ifuatayo:

ni theluthi moja ya eneo la tako b (=base) lililozidishwa na kina h (=height):

Kama pia ina tako la mviringo fomula yake ni

theuthi moja ya pi iliyozidishwa na rediasi r mara r mara kina h.


Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.