Nenda kwa yaliyomo

Pembetatu mraba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pembetatu mraba

Pembetatu mraba ni aina ya pekee ya pembetatu yenye pembe moja ya nyuzi 90°. Pembe mbili nyingine zina jumla ya nyuzi 90°.

Pande zina majina maalumu kutokana na kawaida ya wanahisabati ya Ugiriki wa Kale.

  • Pande ndefu kinyume cha pembe mraba ni hipotenusi au kiegana.
  • Pande mbili nyingine zinazoanza kwenye pembe mraba huitwa miguu au kwa neno la Kigiriki katheti.


Tabia za pembetatu mraba yenye hipotenusi c
Majina ya pande
majina ya pembe
kimo
eneo
mzingo


  • uhakiki wa Thales husema kila pembetatu ambayo kona zake ziko kwenye nusuduara sharti ni pembetatu mraba.
  • uhakiki wa Pythagoras husema ya kwaba mraba juu ya hipotenusi ni sawa na jumla ya miraba juu ya miguu (katheti).


Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pembetatu mraba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.