Nenda kwa yaliyomo

Mraba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mraba na lalo zake (buluu)

Mraba ni aina ya pekee ya mstatili. Kama mstatili umbo lake lina pembe nne na kila pembe ina nyuzi 90 yaani ni pembemraba. Urefu wa kila upande ni sawa. Pande zote zinazoelekeana ni sambamba.

Lalo za mraba zinalingana na kukatana kwa pembe la 90°. Nafasi kati ya kila ulalo na upande wa nje wa mraba ni 45°.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mraba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.