Ulalo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ulalo mbili za mstatili (nyekundu)

Ulalo (pia:hanamu) ni mstari unaounganisha pembe mkabala za pembenyingi yenye pembe nne au zaidi kama mstatili, pembetano n.k.

Idadi ya lalo ni ambamo "n" ni idadi ya pembe za pembenyingi.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulalo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.