Nenda kwa yaliyomo

Magma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Magma

Magma ni mwamba ulioyeyuka kutokana joto kali na shindikizo ulio chini ya ardhi. Kimsingi ni kama zaha inayopatikana juu ya ardhi.

Magma hukunsayika mahali pamoja ndani ya tabakamwamba ya ganda la dunia au katika tabakalaini ya koti. Mahali pale huitwa "chumba cha magma". Joto la chumba huelekea kuyeyusha mwamba imara juu yake na kusababisha kutokea kwa volkeno. Volekano nyingi ziko juu ya vyumba hivi vya magma ndani ya ganda la dunia.

Magma ni katika hali ya kiowevu ikiwa na halijoto kati ya 600 C° na 1600 C°, kwa kawaida kati ya 700 °C na 1250 °C.

Kuna aina mbalimbali za magma zinazotofautiana kikemia. Zinakuwa aina mbalimbali za mwamba.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magma kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.