Loolmalasin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Loolmalasin ni mlima wa volkeno katika mkoa wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.

Urefu wake ni mita 3,682 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]