Nenda kwa yaliyomo

Kieyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kieyo ni mlima wa volkeno ulio kusini mwa Tanzania, katika mkoa wa Mbeya, kaskazini kwa ziwa Nyasa.

Urefu wake ni mita 2,175.

Mara ya mwisho volkeno hiyo ililipuka mwaka 1800.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]