Nenda kwa yaliyomo

Ela Nairobi

Majiranukta: 2°54′0″S 35°48′0″E / 2.90000°S 35.80000°E / -2.90000; 35.80000
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Elan Nairobi)
2°54′0″S 35°48′0″E / 2.90000°S 35.80000°E / -2.90000; 35.80000
Ziwa kwenye Kreta ya Ela Nairobi - Embagai

Ela Nairobi (pia Elanairobi, Embagai au Empakai) ni mlima wa volkeno nchini Tanzania mwenye kimo cha mita 3,235 juu ya UB.[1] [2].

Ndani ya kreta yake kuna ziwa lenye kipenyo cha kilomita 3 hivi penye ndege wengi wa heroe [3].

Iko katika kata ya Naiyobi, wilaya ya Ngorongoro, mkoa wa Arusha.

Tazama pia

Marejeo

  1. Embagai crater; ramani ya geonames.org inaonyesha kreta ileile kwa majina mawili ya Embagai Crater na Ela Nairobi, ilhali inataja ziwa ndani yake kama Empakai
  2. DAWSON , J. B. 2008. The Gregory Rift Valley and Neogene –Recent Volcanoes of Northern Tanzania. Geological Society, London, Memoirs, 33, ukurasa 42 inataja mlima kama "Elanairobi/Embagai (Empakai)"
  3. https://www.volcanodiscovery.com/embagai.html