Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya mikoa ya Tanzania katika mpangilio wa:

  • jumla ya eneo,
  • eneo la nchi kavu, na
  • eneo la maji.

Taarifa hii inalingana na uanzishwaji wa mikoa mipya, ambao umefikisha jumla ya idadi ya kuwa 31.

Mikoa ya Tanzania - Jumla ya eneo

Tanzania Bara (Tanganyika)
(Bofya kwenye pembetatu ndogo kupanga jedwali kwa a-b-c au namba)

NafasiMkoaKilomita za mraba
1Tabora76,151
2Morogoro70,624
3Lindi66,699
4Ruvuma66,399
5Singida49,340
6Katavi45,843
7Kigoma45,066
8Manyara44,522
9Dodoma41,311
10Arusha37,576
11Mbeya35,954
12Iringa35,503
13Pwani32,547
14Songwe27.656
15Tanga26,667
16Kagera25,265
17Simiyu25,212
18Rukwa22,792
19Mara21,760
20Njombe21,347
21Geita20,054
22Shinyanga18,901
23Mtwara16,710
24Kilimanjaro13,250
25Mwanza9,467
26Dar es Salaam1,393

Tanzania Visiwani (Zanzibar)

Nafasi Mkoa Kilomita za mraba
27Unguja Kaskazini470
28Unguja Kusini854
29Unguja Mjini Magharibi230
30Pemba Kaskazini574
31Pemba Kusini332

Eneo la nchi kavu

NafasiMkoaKilomita za mrabaMaili za mraba
1Tabora76,15129,402
2Morogoro70,79927,336
3Rukwa68,63526,500
4Lindi67,00025,869
5Ruvuma63,49824,517
6Mbeya60,35023,301
7Iringa56,86421,955
8Shinyanga50,78119,607
9Singida49,34219,051
10Manyara46,35917,899
11Dodoma41,31115,950
12Kigoma37,03714,300
13Arusha33,80913,054
14Pwani32,40712,512
15Kagera28,38810,961
16Tanga27,34810,351
17Mwanza20,0957,759
18Mara19,5667,554
19Mtwara16,7076,451
20Kilimanjaro13,2095,100
21Dar es Salaam1,393538
22Mkoa wa Unguja Kusini854330
23Mkoa wa Pemba Kaskazini574222
24Mkoa wa Unguja Kaskazini470181
25Mkoa wa Pemba Kusini332128
26Unguja Mjini Magharibi23089

Eneo la maji

Angalizo: Taarifa zinazopatikana ni za mikoa kumi na mbili tu. Mikoa mingine iliyobakia haina maziwa yenye maana au umuhimu au vyanzo vya maji.

NafasiMkoaKilomita za mrabaMaili za mrabaAsilimia
ya Maji
1Mwanza15,0925,82742.9
2Kagera11,2394,33928.4
3Mara10,5844,08734.0
4Kigoma8,0293,10017.8
5Rukwa6,6052,5508.8
6Ruvuma2,9791,1504.5
7Morogoro2,3409033.2
8Iringa2,0728003.5
9Mbeya2,0707993.3
10Manyara1,5546003.2
11Arusha7072732.1
12Singida95370.2

Vyanzo

Taarifa kwa ajili ya mikoa ya Tanzania bara zinatolewa na Utoaji wa Takwimu 2011, Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania Ilihifadhiwa 5 Novemba 2013 kwenye Wayback Machine.. Taarifa kwa ajili ya mikoa ya Tanzania visiwani, yaani, Unguja na Pemba hutolewa na Regions of Tanzania, Statoids.

Kwa takwimu za kisasa angalia 17 Population Distribution and Average Annual Intercensal Growth Rate by Region, Tanzania, Tanzania in Figures, tovuti ya Tanzania National Bureau of Statistics

Tanbihi