Babati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Babati
Babati is located in Tanzania
Babati
Babati
Mahali pa mji wa Babati katika Tanzania
Anwani ya kijiografia: 4°13′12″S 35°45′0″E / 4.22°S 35.75°E / -4.22; 35.75
Nchi Tanzania
Mkoa Manyara
Wilaya Babati

Babati ni wilaya na mji mdogo wa Mkoa wa Manyara huko nchini Tanzania. Mji mkuu wake wa wilaya unaitwa 'Babati Mjini' upo na pia ni kitovu cha Mkoa wa Manyara, takriban kilomita za mraba 172  kusini mwa Arusha. Wilaya hii ndiyo wilaya kuu katika Mkoa wa Manyara. Wilaya imepakana na Mkoa wa Arusha, kwa upande wa kusini-mashariki imepakana na Wilaya ya Simanjiro, kwa upande wa kusini imepakana na Mkoa wa Dodoma, kwa upande kusini-magharibi imepakana na Wilaya ya Hanang, na kwa upande wa kaskazini-magharibi Wilaya ya Mbulu.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, idadi ya wakazi ya Wilayani Babati ilikuwa 303,013. [1]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Wilaya za Mkoa wa Manyara

Anwani ya kijiografia: 4°13′S 35°45′E / 4.217°S 35.75°E / -4.217; 35.75