Singida (mji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Singida
Skyline ya Singida

Lua error in Module:Location_map at line 510: Unable to find the specified location map definition: "Module:Location map/data/Tanzania" does not exist.Mahali pa mji wa Singida katika Tanzania

Majiranukta: 4°49′12″S 34°44′24″E / 4.82°S 34.74°E / -4.82; 34.74
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Singida Mjini
Idadi ya wakazi
 - 150,379

Singida ni manisipaa nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Singida yenye msimbo wa posta 43100[1]. Eneo lake ni wilaya ya Singida Mjini. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 150,379 [2].


Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Singida Mjini - Mkoa wa Singida - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Ipembe | Kindai | Kisaki | Majengo | Mandewa | Minga | Misuna | Mitunduruni | Mtamaa | Mtipa | Mughanga | Mungumaji | Mwankoko | Uhamaka | Unyambwa | Unyamikumbi | Unyianga | Utemini


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Singida (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.