Wilaya ya Rufiji
(Elekezwa kutoka Rufiji)
Wilaya ya Rufiji ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani yenye postikodi namba 61600[1].
Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 92,602 [2], walioongezeka kuwa 217,274 wakati wa sensa ya mwaka 2012[3].
HAdi mwaka 2015 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 236,901.[4]
Makao makuu ya wilaya yanapatikana Utete.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf[dead link]
- ↑ Sensa ya 2002 ilitazamiwa kwenye web.archive.org mnamo mwaka 2015
- ↑ Sensa ya 2012 Archived 3 Machi 2016 at the Wayback Machine., tovuti ya http://www.meac.go.tz Archived 19 Juni 2017 at the Wayback Machine., iliangaliwa Juni 2017
- ↑ Makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016, tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, iliangaliwa Juni 2017
![]() |
Kata za Wilaya ya Rufiji - Mkoa wa Pwani - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bungu | Chemchem | Chumbi | Dimani | Ikwiriri | Kibiti | Kiongoroni | Kipugira | Mahege | Maparoni | Mbuchi | Mbwara | Mchukwi | Mgomba | Mjawa | Mkongo | Mlanzi | Mohoro | Msala | Mtawanya | Mtunda | Mwambao | Mwaseni | Ngarambe | Ngorongo | Ruaruke | Salale | Umwe | Utete |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rufiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |