Wilaya ya Rufiji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mkoa wa Pwani na Wilaya ya Rufiji

Wilaya ya Rufiji ni wilaya moja ya Mkoa wa Pwani yenye postikodi namba 61600[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 92,602 [2], walioongezeka kuwa 217,274 wakati wa sensa ya 2012[3].

Mwaka 2017 wilaya iligawiwa na maeneo ya Wilaya ya Kibiti yalitengwa, ni wakazi 103,174 waliobaki mnamo mwaka 2016.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf
  2. Sensa ya 2002 ilitazamiwa kwenye web.archive.org mnamo mwaka 2015
  3. Sensa ya 2012, tovuti ya http://www.meac.go.tz, iliangaliwa Juni 2017
  4. Makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016, tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, iliangaliwa Juni 2017


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rufiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Rufiji - Mkoa wa Pwani - Tanzania
Flag of Tanzania.svg

Chemchem | Chumbi | Ikwiriri | Kipugira | Mbwara | Mgomba | Mkongo | Mohoro | Mwaseni | Ngarambe | Ngorongo | Umwe | Utete