Shati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Shati (kutoka neno la Kiingereza "shirt") ni nguo inayovaliwa na binadamu eneo la juu la mwili wenye ukosi na mikono kwa ajili ya kusitiri mwili wenyewe.