Hofu
Jump to navigation
Jump to search

Hofu kadiri ya Charles Darwin.
Hofu (kutoka neno la Kiarabu) ni hali ya wasiwasi inayompata mtu au mnyama mbele ya mwingine au kingine kisichompendeza au kuhatarisha usalama wake.
Ni kati ya maono ya msingi zaidi. Hata hivyo inatakiwa kudhibitiwa isije ikawa woga ambao unahofu kupita kiasi.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hofu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |