Kiasi
Jump to navigation
Jump to search
Maadili bawaba |
---|
Kiasi (kwa Kigiriki σωφροσύνη, sofrosune; kwa Kilatini temperantia) ni adili linaloratibu matumizi ya vitu, binadamu asije akatawaliwa na tamaa.
Pamoja na falsafa, dini nyingi zinasifu adili hilo na kuhimiza kulitekeleza (k.mf. kwa njia ya usafi wa moyo na mfungo).
Katika Ukristo ni mojawapo kati ya maadili bawaba yanayotegemeza maadili mengine yote ya kiutu.