Wilaya ya Mpanda
Mandhari
Wilaya ya Mpanda ilikuwa wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa, Tanzania hadi mwaka 2012 yenye postikodi namba 50100. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 412,683 [1] Ilihifadhiwa 20 Machi 2004 kwenye Wayback Machine..
Mwaka 2012 wilaya ikahamishwa kwenda mkoa mpya wa Katavi. Mwaka uleule maeneo yake yaligawiwa kati ya wilaya ya Mpanda Vijijini na wilaya ya Mpanda Mjini.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Katavi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |