Wilaya ya Manyoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mahali pa Manyoni (kijani) katika mkoa wa Singida.

Wilaya ya Manyoni ni wilaya moja ya Mkoa wa Singida. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 205,423 [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Manyoni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

{{Kata za Wilaya ya Manyoni} Mkwese, Kinangari, Mgandu, Sukamahela}