Chikuyu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Chikuyu
Nchi Tanzania
Mkoa Singida
Wilaya Manyoni
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 6,487

Chikuyu ni jina la kata ya Wilaya ya Manyoni katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43404[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,487 waishio humo.[2]

Ni kijiji kinajishugulisha na kilimo cha umwagiliaji cha mpunga. Imebarikuwa kuwa na idadi kubwa ya wasomi. Kuna shule 3 za msingi pamoja na shule ya sekondary ambayo ilianzishwa mwaka 2000. Pia kijiji kina zahanati moja ambayo hutumika kama kituo cha huduma ya kwanza.

Chikuyu kuna pia umeme na maji ya bomba kutoka mradi wa Konoike, pia watu wake hutumia maji ya mto katika shughuli mbalimbali kama ujenzi,umwagiliaji n.k

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Chikuyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.
Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania

Chikola | Chikuyu | Heka | Isseke | Kintinku | Majiri | Makanda | Makuru | Makutopora | Manyoni | Maweni | Mkwese | Muhalala | Nkonko | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya