Sanza
Jump to navigation
Jump to search
Kata ya Sanza | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Singida |
Wilaya | Manyoni |
Idadi ya wakazi | |
- | 10,397 |
Sanza ni jina la kata ya Wilaya ya Manyoni katika Mkoa wa Singida, Tanzania yenye msimbo wa posta 43413[1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,387 waishio humo.[2]
Ipo karibu na Kizigo game reserve. Hii ni sehemu ambapo kuna wanyama wa kila aina. Ni rahisi kufika kupitia Dodoma kwa umbali wa kilomita si zaidi ya 60.
Lugha[hariri | hariri chanzo]
Lugha ambayo zinatumika ni Kiswahili na Kinyambwa.
Watemi[hariri | hariri chanzo]
- Kapande(amekufa 1979)
- Anatoli, au kwa jina maarufu Mtipi, aliishi hadi 2013
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Singida bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sanza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |
![]() |
Kata za Wilaya ya Manyoni - Mkoa wa Singida - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Chikola | Chikuyu | Heka | Isseke | Kintinku | Majiri | Makanda | Makuru | Makutopora | Manyoni | Maweni | Mkwese | Muhalala | Nkonko | Sanza | Saranda | Sasajila | Sasilo | Solya |