Ulezi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ulezi (wingi malezi) ni punje ya mlezi au mwele (aina ya nafaka) ambao hulimwa katika sehemu zenye hali ya ukame.

Malezi kama chakula[hariri | hariri chanzo]

Unga wake hutumika kutengenezea ugali, uji na kadhalika, hasa kwa wagonjwa.