Nenda kwa yaliyomo

Unga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ugali uliotokana na unga wa mahindi

Unga ni nafaka kavu iliyopondwa au kusagwa hadi kuwa kama vumbi. Ladha ya unga hutegemea na nafaka yake. Rangi ya unga ni tofauti kama nafaka imekombolewa kwanza au nafaka yote imesagwa pamoja na sehemu za ganda.

Unga wa nafaka hutumiwa kwa vyakula vingi.

ni mifano ya vyakula vinavyotengenezwa kwa kutumia unga wa nafaka.

Kuna pia unga wa mazao mengine kwa mfano unga wa viazi au unga wa mchele. Kwa kawaida neno "unga" peke yake humaanisha hasa unga wa mahindi na unga wa ngano.

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Unga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.