Mwele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwele
(Pennisetum glaucum)
Miwele
Miwele
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama kongwe)
Oda: Poales (Mimea kama manyasi)
Familia: Poaceae (Manyasi)
Jenasi: Pennisetum
Rich.
Spishi: P. glaucum
(L.) R.Br.

Mwele au mlezi ni aina ya nafaka ulio na asili yake katika Afrika. Sikuhizi hupandwa mahali pengi katika kanda kavu za dunia. Mbegu zake zinaitwa mawele au malezi.

Picha[hariri | hariri chanzo]