Kenyamonta
Kenyamonta ni kata ya Wilaya ya Serengeti katika Mkoa wa Mara, Tanzania, yenye postikodi namba 31620.
Hadi kufikia mwaka 2016, kata hiyo ilikuwa ikiundwa na jumla ya vijiji vinne yaani Kenyamonta, Nyagasense, Mesaga, na Hekwe au wengine hukiita Maghatini.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 12,870 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,336 waishio humo [2].
Ina jumla ya shule za mzingi 4 katika kila kijiji na kuna sekondari moja tu inayojulikana kwa jina la Sekondari ya Ngoreme.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Serengeti - Mkoa wa Mara - Tanzania | ||
---|---|---|
Busawe | Geitasamo | Ikoma | Issenye | Kebanchabancha | Kenyamonta | Kisaka | Kisangura | Kyambahi | Machochwe | Magange | Majimoto | Manchira | Matare | Mbalibali | Morotonga | Mosongo | Mugumu | Nagusi | Natta | Nyamatare | Nyambureti | Nyamoko | Nyansurura | Rigicha | Ring'wani | Rung'abure | Sedeco | Stendi Kuu | Uwanja wa Ndege |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mara bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kenyamonta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |