Nenda kwa yaliyomo

Kitoweo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vitoweo vitatu vilivyoandaliwa pamoja na ugali (kulia juu), kama inavyotarajiwa katika mapishi ya Afrika.

Kitoweo (kutoka kitenzi kutowea) ni chakula kinachotumika pamoja na ugali, wali, mihogo, ndizi n.k. Kwa mfano ni nyama, dagaa, sukumawiki, matembele n.k.

Pengine neno hilo linatumika kama kisawe cha mboga.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitoweo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.