Mapishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mapishi ya Samaki
Mapishi

Mapishi ni namna mbalimbali za kuandaa chakula ukipendacho kama wali, makande, pilau na vyakula vingine.

Kuna mapishi mengi katika nchi mbalimbali, kwa mfano za Afrika, Ulaya na Amerika, hasa kwa kufuatia tofauti za kitamaduni miongoni mwa wanadamu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mapishi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.