Dagaa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
dagaa

Dagaa ni samaki wadogo ambao wanapatikana katika miili ya maji kama mito, maziwa na hata bahari. Wanatumika sana kama kitoweo, hasa pamoja na ugali.

Kuna spishi mbalimbali za dagaa katika familia nne:

Disambig.svg
Ukurasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja. Kwa usaidizi kuhusu makala za aina hii tazama Msaada:Maana

Maelezo katika ukurasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukurasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.