Utumbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa utumbo wa binadamu

Utumbo (pia matumbo) ni ogani ya mwili inayounganisha tumbo na mkundu. Ni sehemu ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utumbo kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.