Ogani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ogani ni sehemu ya mwili au mmea inayofanya kazi maalumu. Inafanywa na seli maalumu zilizipo kwa kazi ya pekee ya ogani husika.

Mifano ya ogani za binadamu (pamoja na wanyama wengi kwa jumla) ni moyo, mapafu, ini na kadhalika.

Ogani za binadamu[hariri | hariri chanzo]

Idadi zinatajwa kwa binadamu mwenye umri wa miaka 20-30, ukubwa wa sentimita 170, uzani wa kilogramu 70.

Sehemu ya mwili uzito asilimia ya masi ya mwili
Musuli 30,0 kg 43,0 %
Kiunzi cha mifupa bila uboho 7,0 kg 10,0 %
Ngozi 6,1 kg 8,7 %
Damu 5,4 kg 7,7 %
Mfumo wa mmeng'enyo wa chakula 2,0 kg 2,9 %
Ini 1,7 kg 2,4 %
Uboho 1,5 kg 2,1 %
Ubongo 1,3 kg 1,8 %
Mapafu 1,0 kg 1,4 %
Moyo 0,3 kg 0,43 %
Mafigo 0,3 kg 0,43 %
Tezi la koromeo 0,02 kg 0,03 %
Wengu 0,18 kg 0,26 %
Jumla 70 kg 100 %