Mwewe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mwewe
Mwewe domo-njano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Accipitriformes (Ndege kama vipanga)
Familia: Accipitridae (Ndege walio na mnasaba na vipanga)
Jenasi: Chelictinia Lesson, 1843

Elanoides Vieillot, 1818
Elanus Savigny, 1809
Gampsonyx Vigors, 1825
Haliastur Selby, 1840
Harpagus Vigors, 1825
Helicolestes Bangs & T.E. Penard, 1918
Ictinia Vieillot, 1818
Machaerhamphus Bonaparte, 1850
Milvus Lacépède, 1799 Rostrhamus Lesson, 1830

Mwewe ni ndege mbua wa jenasi mbalimbali (angalia sanduku ya uainishaji) ya familia ya Accipitridae. Hawana sifa bainifu pamoja isipokuwa wengi wana mkia mwenye panda. Mabawa yao ni marefu na miguu yao haina nguvu kwa sababu yake ndege hawa hupuruka sana. Hukamata aina nyingi za mawindo, kama wanyama wadogo, ndege na wadudu wakubwa, lakini hula mizoga sana.

Spishi za Afrika[hariri | hariri chanzo]

Spishi za mabara mengine[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]