Mvomero (wilaya)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mvomero katika Mkoa wa Morogoro.

Wilaya ya Mvomero ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Morogoro,Tanzania yenye Postikodi namba 67300.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 260,525 [1] na idadi hiyo ikaongezeka hadi sensa ya 2012 kuwa wakazi 312,109[2]. Katika ile ya mwaka 2022 walihesabiwa 421,471 [3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Tanzania.go.tz/census". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-18. Iliwekwa mnamo 2003-12-18. 
  2. "Sensa ya 2012, Morogoro - Mvomero DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-04. 
  3. https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Mvomero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Bunduki | Dakawa | Diongoya | Doma | Hembeti | Homboza | Kanga | Kibati | Kikeo | Kinda | Kweuma | Langali | Luale | Lubungo | Mangae | Maskati | Melela | Mgeta | Mhonda | Mkindo | Mlali | Msongozi | Mtibwa | Mvomero | Mziha | Mzumbe | Nyandira | Pemba | Sungaji | Tchenzema


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mvomero (wilaya) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.