Tchenzema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Tchenzema ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67316. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,229 [1] walioishi humo, wakiwemo hasa Waluguru.

Upande wa dini, wengi wao ni Wakristo wa Kanisa Katoliki.

Watu wa Tchenzema wamejikita zaidi kwenye kilimo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Morogoro - Mvomero DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-06-04.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mvomero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bunduki | Dakawa | Diongoya | Doma | Hembeti | Homboza | Kanga | Kibati | Kikeo | Kinda | Kweuma | Langali | Laula | Lubungo | Mageta | Mangae | Maskati | Melela | Mhonda | Mkindo | Mlali | Msongozi | Mtibwa | Mvomero | Mziha | Mzumbe | Nyandira | Pemba | Sungaji | Tchenzema


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tchenzema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.