Homboza
Homboza ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania.
Kata hiyo ina jumla ya vijiji vinne, na jumla ya shule nne: tatu za msingi na moja ya sekondari. Pia ina zahanati moja ambayo iko kijiji cha Homboza.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 8,355 [1].
Wakazi wengi ni wakulima, hasa Waluguru, waumini wa Kanisa Katoliki ambalo huko lina parokia moja, alipotokea askofu wa jimbo la Morogoro, Lazarus Msimbe, SDS.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Mvomero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania | ||
---|---|---|
Bunduki | Dakawa | Diongoya | Doma | Hembeti | Homboza | Kanga | Kibati | Kikeo | Kinda | Kweuma | Langali | Luale | Lubungo | Mangae | Maskati | Melela | Mgeta | Mhonda | Mkindo | Mlali | Msongozi | Mtibwa | Mvomero | Mziha | Mzumbe | Nyandira | Pemba | Sungaji | Tchenzema |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Homboza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |