Mzumbe
Mzumbe ni kata ya Wilaya ya Mvomero katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67311. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 19,056 [1] walioishi humo.
Mzumbe ilikuwa mahali pa chuo cha utawala (Local Government School) kilichoanzishwa 1953 wakati wa Tanganyika Territory chini ya Uingereza kilichoendelea kuwa "Institute of Development Management (IDM-Mzumbe)"; tangu mwaka 2001 hadhi ya taasisi ilipandishwa tena kuwa chuo kikuu cha Mzumbe University.[2]
Mzumbe ina watu wa makabila mbalimbali, lakini hasa ni asili ya kabila la Waluguru.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Sensa ya 2012, Morogoro - Mvomero DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2015-03-22.
- ↑ Kuhusu Chuo kikuu cha Mzumbe. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-05-08. Iliwekwa mnamo 2016-06-04.
![]() |
Kata za Wilaya ya Mvomero - Mkoa wa Morogoro - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bunduki | Dakawa | Diongoya | Doma | Hembeti | Homboza | Kanga | Kibati | Kikeo | Kinda | Kweuma | Langali | Luale | Lubungo | Mangae | Maskati | Melela | Mgeta | Mhonda | Mkindo | Mlali | Msongozi | Mtibwa | Mvomero | Mziha | Mzumbe | Nyandira | Pemba | Sungaji | Tchenzema |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mzumbe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |