Nenda kwa yaliyomo

Lahaja za Kiswahili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ionyeshayo maeneo ambapo lahaja za Kiswahili zinatumika

Kiswahili kimepatikana kwa namna au lahaja mbalimbali.

Wakati wa ukoloni wa Uingereza azimio lilitolewa kutumia Kiswahili cha Unguja kuwa Kiswahili rasmi katika Tanganyika, Kenya na Zanzibar. Waingereza walikitumia pia kama lugha ya polisi na jeshi katika Uganda.

Kati ya lahaja za Kiswahili ni zifuatazo: