Nenda kwa yaliyomo

Kura ya maoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kura ya maoni juu ya aina ya serikali ya Italia mwaka 1946: Jamhuri au ufalme?

Kura ya maoni zinatumika katika demokrasia ili kuchagua viongozi wa nchi au kuamua kama sheria fulani itumike. Kawaida kura ya maoni hupigwa na wale wote wenye umri halali wa kupiga kura ili kukubali au kukataa pendekezo, sera, sheria, mabadiliko ya katiba, katiba mpya, kukataa au kumuunga mkono kiongozi fulani. Kura ya maoni huchukuliwa kuwa ni aina mojawapo ya demokrasia ya moja kwa moja.

Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kura ya maoni Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.