Henrik Pontoppidan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Henrik Pontoppidan

Henrik Pontoppidan (24 Julai 185721 Agosti 1943) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Hasa aliandika riwaya juu ya maisha katika nchi yake. Mwaka wa 1917, pamoja na Karl Adolph Gjellerup alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henrik Pontoppidan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.