Privati wa Mende

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kifodini chake.

Privati wa Mende (Clairmont, karne ya 3 - Mlima Mimat, 255/260) alikuwa askofu wa kwanza[1] wa mji huo, Galia, leo Ufaransa[2]) hadi alipouawa kwa imani yake[3].

Tangu zamani anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[4].

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 21 Agosti[5].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. (Kifaransa) Félix Buffière, Ce tant rude Gévaudan, Tome I, p.176
  2. (Kifaransa) Félix Remize, Saint Privat, évêque du Gévaudan, IIème siècle, Mende, 1910
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/67110
  4. (Kifaransa) Gregori wa Tours, Histoire des Francs (V)
  5. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.