Wafiadini wa Aleksandria (10 Agosti)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wafiadini wa Aleksandria (walifariki 259 hivi) ni kundi kubwa la Wakristo wa Aleksandria (Misri) ambao waliteswa na hatimaye wakauawa wakati wa dhuluma ya kaisari Valerian kwa sababu ya imani yao.

Wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao inaadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Agosti[1][2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.