Shujaa
Shujaa (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: hero au heroine, kutoka Kigiriki hērōs, yaani "mlinzi" au "mtetezi"[1]) ni mtu ambaye ameshinda juu ya jambo fulani, kwa mfano vita, au anaweza kukabili jambo lolote kwa ujasiri, bila kuzuiwa na woga.
Katika fasihi ni mhusika mkuu wa utendi.[2]
Mifano ya mashujaa ni kuanzia wahusika wa kubuniwa wa kale kama Gilgamesh, Akile na Ifigenia, hadi watu halisi wa kale kama Yoana wa Arc au Sophie Scholl, mashujaa wa siku hizi kama Alvin York, Audie Murphy na Chuck Yeager, tena mashujaa wa katuni kama Superman, Spider-Man, Batman na Captain America.
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shujaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |