Gilgamesh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Sanamu ya kisasa ya Gilgamesh iliyochongwa kwa kuiga mtindo wa Mesopotamia ya Kale;

Gilgamesh alikuwa mfalme wa tano wa mji wa Uruk uliokuwa mji muhimu wa Wasumeri katika Mesopotamia ya kale. Babake Lugalbanda alikuwa mfal,e wa tatu wa mji huu. Gilgamesh alitawala mnamo mwaka 2600 KK.

Jina lake linafahamika hasa kutokana na Utenzi wa Gilgamesh ambao ni kati ya mifano ya kwanza kabisa ya fasihi ya kuandikwa. Kufuatana na shairi hili alikuwa theluji moja binadamu na theluthi mbli mungu.[1]

Gilgamesh alijenga ukuta uliozungusha mji wa Uruk. Ukuta huu ulikuwa ulinzi mwema na ndani yake mji liendelea kuwa kitovu cha kiuchumi katika Mesopotamia.

References[hariri | hariri chanzo]

  1. Osborn, Kevin; Dana Burgess (1998). The Complete Idiot's Guide to Classical Mythology. Alpha Books. p. 30. ISBN 0028623851.
People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gilgamesh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.