Muujiza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Muujiza ni tukio lisiloelezeka kisayansi kufuatana na sheria za maumbile.[1]

Matukio hayo yanaweza kufikiriwa yamesababishwa ama na Mungu au miungu, hata kupitia mtu wa dini, ama na nguvu nyingine zinazohusiana na ushirikina.

Wanateolojia Wakristo wanasema Mungu kwa kawaida anaacha sheria za maumbile zifuate mkondo wake, lakini anabaki huru kuziingilia anavyotaka kwa mipango yake.[2]

Injili zinasimulia aina nyingi za miujiza ya Yesu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Miracle
  2. McLaughlin, R (May 2002). Do Miracles Happen Today?. IIIM Online. Reformed Perspectives Magazine. Iliwekwa mnamo 2 February 2010.
Icon-religion.svg Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.