Bubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bubu akiwa amekaa.

Bubu ni mtu ambaye hana uwezo wa kuongea au kuzungumza kwa kinywa kama ilivyo kawaida.

Mara nyingi watu hao huzungumza au kuongea kwa ishara tu. Kwa hiyo kama unataka kuongea na watu kama mabubu inabidi uweze kuzijua ishara zao wanazozitumia katika uzungumzaji na kutumia ishara hizo kwa umakini sana bila kukosea.

Mara nyingi hali hiyo ya ulemavu wa kimwili inawaathiri hata kinafsi. Hivyo si vyema kuwatenga au kuwanyanyasa watu kama hao maana wao ni binadamu wenzetu, inabidi tuishi nao kwa ushirikiano mkubwa na tusichoke kuwapa mahitaji yao jinsi inavyotakiwa.

Katika Injili, tunasoma Yesu alivyoponya baadhi ya mabubu, kama ilivyotabiriwa na manabii, hasa Isaya.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bubu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.