Ushirikiano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ushirikiano (wakati mwingine hujulikana kama umoja) ni mchakato wa makundi ya viumbe wanaofanya kazi pamoja kwa manufaa fulani, kinyume na kufanya kazi kwa ushindani kwa manufaa ya ubinafsi.

Aina nyingi za wanyama na mimea zinashirikiana kwa kiasi kikubwa, hasa katika suala la uhai; bila mimea asilimia kubwa ya wanyama tusingeweza kuishi, pia bila sisi wanyama asilimia kubwa ya mimea isingeweza kuishi.

Ushirikiano kati ya wanyama na mimea[hariri | hariri chanzo]

Wanyama na mimea hushirikiana katika nyanja mbalimbali, hasa katika nyanja ya uhai.

Duniani kuna hewa za aina mbalimbali, kama oksijeni, kaboni, kabonidaioksaidi, nitrojeni, kabonimonoksaidi, n.k. Mimea hukusanya kabonidaioksaidi katika anga la dunia na kuibadilisha kuwa oksijeni. Baada ya kuibadilisha hewa ya kabonidaioksaidi kuwa oksijeni, hutoa na kuipeleka oksijeni hiyo iende kwa wanyama mbalimbali.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ushirikiano kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.