Ushahidi
Mandhari
(Elekezwa kutoka Shahidi)
Ushahidi (pia: ushuhuda; kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: testimony) ni kitu au maelezo yanayotolewa aghalabu kwenye vyombo vya sheria, kwa mfano mahakamani, ili kuthibitisha kuona au kusikia jambo fulani lililotokea.
Katika dini ni maneno na matendo ya kuthibitisha ukweli wa imani fulani. Kilele cha ushahidi kinaweza kuwa kifodini.
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ushahidi kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |