Christian de Duve

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Christian de Duve

Christian de Duve (amezaliwa 2 Oktoba 1917) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Ubelgiji. Hasa alichunguza sehemu za chembe hai. Mwaka wa 1974, pamoja na Albert Claude na George Palade alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian de Duve kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.