George Palade


George Emil Palade (amezaliwa 19 Novemba 1912) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Romania. Baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza vipengele mbalimbali vya chembe hai. Mwaka wa 1974, pamoja na Albert Claude na Christian de Duve alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu George Palade kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |