August Wilson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:August wilson.jpg
August Wilson

August Wilson (27 Aprili 19452 Oktoba 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Frederick August Kittel Jr.. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya mara mbili: 1987 kwa tamthiliya yake Fences, na 1990 kwa The Piano Lesson.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu August Wilson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.